Logo
Mama Imara Taifa Imara

Loading...

info@mamaimara.or.tz +255 781 777 777
MAMA IMARA • TAIFA IMARA

Picha Za Matukio

Tazama picha mbalimbali zinazoonyesha shughuli, semina, huduma za kijamii na programu zinazogusa maisha ya kina mama na jamii kwa ujumla.

Mama Imara

Mama akiwa imara, jamii inakuwa imara

Tunaendelea kugusa maisha ya wanawake kupitia elimu, afya na uwezeshaji wa kiuchumi.

Karibu Kuona Picha Zetu

Tunagusa Maisha ya Kina Mama Kila Siku

Katika MAMA IMARA TAIFA IMARA tunaamini kuwa mwanamke mwenye nguvu ni msingi wa taifa imara. Kupitia matukio yetu mbalimbali tumekuwa tukitoa elimu, msaada, uwezeshaji na matumaini kwa wanawake kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania.

Tunafanya semina za afya, mafunzo ya biashara, makongamano ya wanawake, misaada ya kijamii, pamoja na programu za vijana wa kike kwa lengo la kujenga jamii bora yenye upendo, mshikamano na maendeleo endelevu.

Picha Zetu

Picha za Matukio na Shughuli Zetu

Tazama picha mbalimbali zinazoonyesha shughuli, semina, programu na huduma tunazozifanya kwa ajili ya jamii.